14 Ndipo Debora akamwambia Baraka, "Nenda! Hii ndiyo siku ambayo Bwana amemtia Sisera mikononi mwako. Je, Bwana hakukutangulia mbele yako?" Hivyo Baraka akashuka kutoka Mlima Tabori, akifuatwa na watu 10,000.
Publicidade
Waamuzi 4:14
ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
14 Ndipo Debora akamwambia Baraka, "Nenda! Hii ndiyo siku ambayo Mwenyezi Mungu amemtia Sisera mikononi mwako. Je, Mwenyezi Mungu hakukutangulia mbele yako?" Hivyo Baraka akashuka kutoka Mlima Tabori, akifuatwa na watu elfu kumi.
- SRUV Swahili Revised Union Version
14 Kum 9:3;2 Sam 5:24;Zab 68:7;77:17,18;Isa 52:12;Mik 2:13Debora akamwambia Baraka, Haya! Inuka; maana siku hii ndiyo siku ambayo BWANA amemtia Sisera katika mkono wako. Je! BWANA hakutoka atangulie mbele yako? Basi Baraka akashuka katika mlima wa Tabori, na watu elfu kumi wakamfuata.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.