Pular para o conteúdo
Publicidade

Waamuzi 5:19

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

19 "Wafalme walikuja na kufanya vita;

wafalme wa Kanaani walipigana

huko Taanaki karibu na maji ya Megido,

lakini hawakuchukua fedha wala nyara.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    19 "Wafalme walikuja na kufanya vita;

    wafalme wa Kanaani walipigana

    huko Taanaki, karibu na maji ya Megido,

    lakini hawakuchukua nyara za fedha.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    19 Amu 4:16;Zab 44:12Wafalme walikuja wakafanya vita,

    Ndipo wafalme wa Kanaani walifanya vita.

    Katika Taanaki, karibu na maji ya Megido;

    Hawakupata faida yoyote ya fedha.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.