22 Walipozipiga zile tarumbeta 300, Bwana akafanya watu katika kambi yote kugeuziana upanga kila mmoja na mwenziwe. Jeshi likakimbia mpaka Beth-Shita kuelekea Serera7:22 Au: Seretha. hadi mpakani mwa Abel-Mehola karibu na Tabathi.