Pular para o conteúdo
Publicidade

Ayubu 1

20 Ndipo Ayubu akasimama, akararua joho lake na kunyoa nywele zake. Kisha akaanguka chini katika kuabudu 21 na kusema:

"Nilitoka tumboni mwa mama yangu uchi,

nami nitaondoka uchi,1:21 Au: nitarudi huko uchi.

Bwana alinipa, naye Bwana ameviondoa,

jina la Bwana litukuzwe."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também