21 na kusema:
"Nilitoka tumboni mwa mama yangu uchi,
nami nitaondoka uchi,1:21 Au: nitarudi huko uchi.
Bwana alinipa, naye Bwana ameviondoa,
jina la Bwana litukuzwe."
21 na kusema:
"Nilitoka tumboni mwa mama yangu uchi,
nami nitaondoka uchi,1:21 Au: nitarudi huko uchi.
Bwana alinipa, naye Bwana ameviondoa,
jina la Bwana litukuzwe."
21 akasema:
"Nilitoka tumboni mwa mama yangu uchi,
nami nitaondoka uchi1:21 au nitarudi huko uchi,
Mwenyezi Mungu alinipa,
naye Mwenyezi Mungu ameviondoa;
jina la Mwenyezi Mungu litukuzwe."
21 Yak 1:17;Mwa 45:5;Amo 3:6;Efe 5:20akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nikiwa uchi, nami nitarudi tena huko uchi vile vile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.