5 Wakati kipindi cha karamu kilimalizika, Ayubu angetuma waitwe na kuwafanyia utakaso. Angetoa dhabihu ya sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya kila mmoja wao asubuhi na mapema, akifikiri, "Pengine wanangu wametenda dhambi na kumlaani Mungu mioyoni mwao." Hii ilikuwa ndiyo desturi ya kawaida ya Ayubu.
Ayubu 1:5
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
5 Kipindi cha karamu kilipomalizika, Ayubu angetuma waitwe na kuwafanyia utakaso. Angetoa dhabihu ya sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya kila mmoja wao asubuhi na mapema, akifikiri, "Pengine wanangu wametenda dhambi na kumlaani Mungu mioyoni mwao." Hii ilikuwa ndiyo desturi ya kawaida ya Ayubu.
- SRUV Swahili Revised Union Version
5 Mwa 8:20;Ayu 42:8;2 Kor 11:2;1 Fal 21:10,13Basi ilikuwa, hapo hizo siku za karamu zao zilipokuwa zimetimia, Ayubu hutuma kwao akawatakasa, kisha akaamka asubuhi na mapema, na kusongeza sadaka za kuteketezwa kama hesabu yao wote ilivyokuwa; kwani Ayubu alisema, Pengine hawa wanangu wamefanya dhambi, na kumkufuru Mungu mioyoni mwao. Ndivyo alivyofanya Ayubu sikuzote.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.