12 Je, hekima haipatikani katikati ya wazee?
Je, maisha marefu hayaleti ufahamu?
13 "Hekima na nguvu ni vya Mungu;
shauri na ufahamu ni vyake yeye.
12 Je, hekima haipatikani katikati ya wazee?
Je, maisha marefu hayaleti ufahamu?
13 "Hekima na nguvu ni vya Mungu;
shauri na ufahamu ni vyake yeye.