25 Ninajua kwamba Mkombozi19:25 Au: Mtetezi. wangu yu hai,
naye kwamba mwishoni atasimama juu ya nchi.
26 Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa,
bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu;