Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 1:18-20

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

18 Zekaria akamuuliza malaika, "Jambo hilo linawezekanaje? Mimi ni mzee na mke wangu pia ana umri mkubwa."

19 Malaika akamjibu, akamwambia, "Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu, nami nimetumwa kwako ili nikuambie habari hizi njema. 20 Basi sasa kwa kuwa hujaamini maneno yangu ambayo yatatimizwa kwa wakati wake, utakuwa bubu hadi siku ile mambo haya yatakapotukia."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    18 Zakaria akamuuliza malaika, "Jambo hilo linawezekanaje? Mimi ni mzee na mke wangu pia ana umri mkubwa."

    19 Malaika akamjibu, akamwambia, "Mimi ni Jibraili, nisimamaye mbele za Mungu, nami nimetumwa kwako ili nikuambie habari hizi njema. 20 Basi sasa kwa kuwa hujaamini maneno yangu ambayo yatatimizwa kwa wakati wake, utakuwa bubu hadi siku ile mambo haya yatakapotukia."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    18 Mwa 18:11Zakaria akamwambia malaika, Nitajuaje neno hilo? Maana mimi ni mzee, na mke wangu ni mkongwe wa siku nyingi. 19 Dan 8:16;9:21;Ebr 1:14Malaika akamjibu akamwambia, Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu; nami nimetumwa niseme nawe, na kukupasha habari hizi njema. 20 Lk 1:45Na tazama! Utakuwa bubu, usiweze kusema, mpaka siku ile yatakapotukia hayo, kwa sababu hukuyasadiki maneno yangu; nayo yatatimizwa kwa wakati wake.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.