Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 1

28 Naye malaika akaja kwake akamwambia: "Salamu, wewe uliyebarikiwa, Bwana yu pamoja nawe!"

29 Maria akafadhaishwa sana na maneno haya, akajiuliza moyoni, "Salamu hii ni ya namna gani?" 30 Ndipo malaika akamwambia, "Usiogope, Maria, umepata kibali kwa Mungu. 31 Tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto mwanaume na utamwita jina lake Yesu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também