Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 13

11 Wakati huo huo akaja mwanamke mmoja aliyekuwa na pepo mchafu, naye alikuwa amepinda mgongo kwa muda wa miaka kumi na minane, wala alikuwa hawezi kunyooka wima. 12 Yesu alipomwona, akamwita, akamwambia, "Mwanamke, uwe huru, umepona ugonjwa wako." 13 Yesu alipomwekea mikono yake, mara akasimama wima akaanza kumtukuza Mungu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também