Pular para o conteúdo
Publicidade

Lucas 13

Mfano Wa Punje Ya Haradali

18 Kisha Yesu akauliza, "Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini? 19 Umefanana na punje ya haradali ambayo mtu aliichukua na kuipanda katika shamba lake. Nayo ikakua, ikawa mti nao ndege wa angani wakatengeneza viota vyao kwenye matawi yake."

Veja também