Mfano Wa Kondoo Aliyepotea
1 Basi watoza ushuru na wenye dhambi wote walikuwa wanakusanyika ili wapate kumsikiliza Yesu. 2 Lakini Mafarisayo na walimu wa sheria wakanungʼunika wakisema, "Huyu mtu anawakaribisha wenye dhambi na kula nao."