Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 19

37 Alipokaribia mahali yanapoanzia materemko ya Mlima wa Mizeituni, umati wote wa wafuasi wake wakaanza kumsifu Mungu kwa furaha kwa sauti kuu kwa ajili ya matendo yote ya miujiza waliyoyaona. Wakasema:

38 "Amebarikiwa Mfalme ajaye kwa Jina la Bwana!"

"Amani mbinguni na utukufu huko juu sana."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também