Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 22:15,19,20

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

15 Kisha akawaambia, "Nimetamani sana kuila Pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu.

19 Kisha akachukua mkate, akashukuru, akaumega, na kuwapa, akisema, "Huu ni mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu. Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu."

20 Vivyo hivyo baada ya kula, akakitwaa kikombe, akisema, "Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, imwagikayo kwa ajili yenu.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    15 Kisha akawaambia, "Nimetamani sana kuila Pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu.

    19 Kisha akachukua mkate, akashukuru, akaumega, na kuwapa, akisema, "Huu ni mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu. Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu."

    20 Vivyo hivyo baada ya kula, akakitwaa kikombe, akisema, "Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, imwagikayo kwa ajili yenu.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    15 Akawaambia, Nimetamani sana kuila Pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu; 19 1 Kor 11:23-25;Mdo 27:35Akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa, akisema, [Huu ndio mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu. 20 Kut 24:8;Yer 31:31;Zek 9:11Kikombe nacho vivyo hivyo baada ya kula; akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu.]

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.