50 Mmoja wao akampiga mtumishi wa kuhani mkuu kwa upanga, akamkata sikio la kuume.
51 Lakini Yesu akasema, "Acheni!" Akaligusa lile sikio la yule mtu na kumponya.