Pular para o conteúdo
Publicidade

Lucas 22

61 Naye Bwana akageuka, akamtazama Petro. Ndipo Petro akakumbuka lile neno ambalo Bwana alimwambia: "Kabla jogoo hajawika leo, utanikana mara tatu." 62 Naye akaenda nje, akalia kwa majonzi.

Veja também