Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 23

40 Lakini yule mhalifu mwingine akamkemea mwenzake, akasema, "Je, wewe humwogopi Mungu, wakati uko kwenye adhabu iyo hiyo? 41 Sisi tumehukumiwa kwa haki kwa kuwa tunapata tunayostahili kwa ajili ya matendo yetu. Lakini huyu mtu hajafanya kosa lolote."

42 Kisha akasema, "Yesu, unikumbuke utakapokuja katika Ufalme wako."

43 Yesu akamjibu, "Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso."23:43 Paradiso maana yake bustani nzuri, hapa ina maana mahali zinapokwenda roho za wacha Mungu, yaani watakatifu.

Veja também