Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 24:39,40

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

39 Tazameni mikono yangu na miguu yangu, mwone kuwa ni mimi hasa. Niguseni mwone; kwa maana mzuka hauna nyama na mifupa, kama mnionavyo kuwa navyo."

40 Aliposema haya, akawaonyesha mikono na miguu yake.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    39 Tazameni mikono yangu na miguu yangu, mwone kuwa ni mimi mwenyewe. Niguseni mwone; kwa maana mzuka huna nyama na mifupa, kama mnavyoniona mimi."

    40 Aliposema haya, akawaonesha mikono na miguu yake.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    39 Tazameni mikono yangu na miguu yangu, ya kuwa ni mimi mwenyewe. Nishikenishikeni, mwone; kwa kuwa roho haina mwili na mifupa kama mnavyoniona mimi kuwa nayo. 40 Na baada ya kusema hayo aliwaonesha mikono yake na miguu yake.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.