19 Lakini Yohana alipomkemea Mfalme Herode kuhusu uhusiano wake na Herodia, mke wa ndugu yake, na maovu mengine aliyokuwa amefanya, 20 Herode aliongezea jambo hili kwa hayo mengine yote: alimfunga Yohana gerezani.
Kubatizwa Kwa Bwana Yesu
(Mathayo 3:13-17; Marko 1:9-11)