Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 3:8,12,13

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

8 Basi zaeni matunda yastahiliyo toba. Wala msianze kusema mioyoni mwenu kuwa, ‘Sisi tunaye Abrahamu, baba yetu.’ Kwa maana nawaambia kuwa Mungu anaweza kumwinulia Abrahamu watoto kutoka mawe haya.

12 Watoza ushuru nao wakaja ili wabatizwe, wakamuuliza, "Bwana na sisi inatupasa tufanyeje?"

13 Akawaambia, "Msichukue zaidi ya kiwango mlichopangiwa."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    8 Basi zaeni matunda yastahiliyo toba. Wala msianze kusema mioyoni mwenu kuwa, ‘Sisi tunaye Ibrahimu, baba yetu.’ Kwa maana nawaambia kuwa Mungu anaweza kumwinulia Ibrahimu watoto kutoka mawe haya.

    12 Watoza ushuru nao wakaja ili wabatizwe, wakamuuliza, "Mwalimu na sisi inatupasa tufanyeje?"

    13 Akawaambia, "Msichukue zaidi ya kiwango mlichopangiwa."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    8 Yn 8:33Basi, toeni matunda yapatanayo na toba; wala msianze kusema mioyoni mwenu, Tunaye baba, ndiye Abrahamu; kwa maana nawaambia ya kwamba katika mawe haya Mungu aweza kumwinulia Abrahamu watoto. 12 Lk 7:29Watoza ushuru nao wakaja kubatizwa, wakamwuliza, Mwalimu, tufanye nini sisi? 13 Akawaambia, Msitoze kitu zaidi kuliko mlivyoamriwa.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.