Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 7

33 Kwa maana Yohana Mbatizaji alikuja, alikuwa hali mkate wala hanywi divai, nanyi mkasema, Yeye ana pepo mchafu. 34 Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa, nanyi mnasema: Tazameni huyu mlafi na mlevi, rafiki wa watoza ushuru na "wenye dhambi." 

Veja também