13 Yesu akawajibu, "Ninyi wapeni chakula."
Nao wakajibu, "Hatuna zaidi ya mikate mitano na samaki wawili. Labda twende tukanunue chakula cha kuwatosha watu hawa wote."
13 Yesu akawajibu, "Ninyi wapeni chakula."
Nao wakajibu, "Hatuna zaidi ya mikate mitano na samaki wawili. Labda twende tukanunue chakula cha kuwatosha watu hawa wote."
13 Isa akawajibu, "Ninyi wapeni chakula."
Nao wakajibu, "Tuna mikate mitano na samaki wawili tu. Labda twende tukanunue chakula cha kuwatosha watu hawa wote."
13 Akawaambia, Wapeni ninyi chakula. Wakasema, Hatuna kitu zaidi ya mikate mitano na samaki wawili, tusipokwenda tukawanunulie watu hawa wote vyakula.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.