Pular para o conteúdo
Publicidade

Mambo Ya Walawi 25:10

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

10 Mwaka wa hamsini mtauweka wakfu na kutangaza uhuru katika nchi kwa wakazi wake wote. Itakuwa ni yubile25:10 Yubile ni baragumu iliopigwa kila mwaka wa hamsini; ni Sabato ya nchi ya kila mwaka wa hamsini uliokuwa mwaka wa ukombozi, yaani kuachia huru. kwenu; kila mmoja wenu atairudia mali ya jamaa yake, na kila mmoja kurudi kwenye ukoo wake.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    10 Mwaka wa hamsini mtauweka wakfu na kutangaza uhuru katika nchi kwa wakazi wake wote. Itakuwa ni Yubile25:10 Yubile ni baragumu iliyopigwa kila mwaka wa hamsini; ni Sabato ya nchi ya kila mwaka wa hamsini uliokuwa mwaka wa ukombozi, yaani kuachia huru. kwenu; kila mmoja wenu atairudia mali ya jamaa yake, na kila mmoja kurudi kwenye ukoo wake.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    10 Kut 20:2;Ezr 6:3;Isa 49:24,25;Yer 34:8,15,17;Lk 4:19;Gal 5:1;Hes 36:4Na mwaka wa hamsini mtautakasa, na kuwatangazia uhuru watu wote katika nchi; itakuwa ni mwaka wa jubilii25:10 Kiasili, maana ya Jubilii ni baragumu iliyopigwa kila mwaka wa hamsini. kwenu; na kila mtu atairudia milki yake, na kila mtu atarejea kwa jamaa yake.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.