Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 10

Ombi La Yakobo Na Yohana

35 Kisha Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, wakaja kwake na kumwambia, "Mwalimu, tunataka utufanyie lolote tutakalokuomba."

36 Naye akawaambia, "Je, mwataka niwafanyie jambo gani?"

37 Wakamwambia, "Tupe kukaa mmoja upande wako wa kuume na mwingine upande wako wa kushoto katika utukufu wako."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também