Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 13

Kuja Kwa Mwana Wa Adamu

24 "Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki,

" jua litatiwa giza

nao mwezi hautatoa nuru yake;

25 nazo nyota zitaanguka kutoka angani,

na nguvu za anga zitatikisika.

26 "Ndipo watu wote watakapomwona Mwana wa Adamu akija mawinguni kwa nguvu nyingi na utukufu. 27 Naye atawatuma malaika wake wawakusanye wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, kutoka miisho ya dunia hadi miisho ya mbingu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também