Kifo Cha Yesu Msalabani
33 Ilipofika saa sita, giza liliifunika nchi yote hadi saa tisa. 34 Mnamo saa tisa, Yesu akapaza sauti, akalia, "Eloi, Eloi, lama sabakthani?" (maana yake, "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?")

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.