Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 3

28 Amin, nawaambia, dhambi zote na makufuru yote ya wanadamu watasamehewa. 29 Lakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele."

30 Yesu alisema hivi kwa sababu walikuwa wanasema, "Ana pepo mchafu."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também