3 Huyu si yule seremala, mwana wa Maria? Na ndugu zake si Yakobo, Yose,6:3 Yosefu kwa Kiyunani ni Joses. Yuda na Simoni? Dada zake wote si tuko nao hapa kwetu?" Nao wakachukizwa sana kwa ajili yake, wakakataa kumwamini.