Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 6:31

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

31 Basi kwa kuwa watu wengi mno walikuwa wakija na kutoka, hata wakawa hawana nafasi ya kula, Yesu akawaambia wanafunzi wake, "Twendeni peke yetu mahali pa faragha, mpate kupumzika."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    31 Basi kwa kuwa watu wengi mno walikuwa wakija na kutoka, hata wakawa hawana nafasi ya kula, Isa akawaambia wanafunzi wake, "Twendeni peke yetu mahali pa faragha, mpate kupumzika."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    31 Akawaambia, Njooni ninyi peke yenu kwa faragha, mahali pasipokuwa na watu, mkapumzike kidogo. Kwa sababu walikuwako watu wengi, wakija, wakienda, hata haikuwapo nafasi ya kula.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.