Pular para o conteúdo
Publicidade

Marcos 7

11 Lakini ninyi mwafundisha kwamba mtu akimwambia baba yake au mama yake, Kile ambacho ningeweza kukusaidia ni Korbani(yaani kimewekwa wakfu kwa Mungu), 12 basi hawajibiki tena kumsaidia baba yake au mama yake. 13 Kwa njia hiyo ninyi mnabatilisha neno la Mungu kwa mapokeo yenu mliyojiwekea. Nanyi mnafanya mambo mengi ya aina hiyo."

14 Yesu akaita tena ule umati wa watu, akawaambia, "Nisikilizeni, kila mmoja wenu na mwelewe jambo hili. 15 Hakuna kitu kinachomwingia mtu kimtiacho unajisi, lakini kile kimtokacho ndicho kimtiacho unajisi. [

Veja também