Pular para o conteúdo
Publicidade

Malaki 1:6

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

Dhabihu Zilizo Na Mawaa

6 "Mwana humheshimu baba yake, naye mtumishi humheshimu bwana wake. Kama mimi ni baba, iko wapi heshima ninayostahili? Kama mimi ni bwana, iko wapi heshima ninayostahili?" asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. "Ni ninyi, enyi makuhani, mnaolidharau Jina langu.

"Lakini mnauliza, ‘Tumelidharau Jina lako kwa namna gani?’

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    6 "Mwana humheshimu baba yake, naye mtumishi humheshimu bwana wake. Kama mimi ni baba, iko wapi heshima ninayostahili? Kama mimi ni bwana, iko wapi heshima ninayostahili?" asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni. "Ni ninyi, enyi makuhani, mnaolidharau Jina langu.

    "Lakini mnauliza, ‘Tumelidharau Jina lako kwa namna gani?’

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    6 Kut 20:12;Kum 5:16;Mt 15:4;Efe 6:2;Lk 18:20;6:46Mwana humheshimu baba yake, na mtumishi humcha bwana wake; basi, kama mimi ni baba yenu, heshima yangu iko wapi? Na kama mimi ni bwana wenu, kicho changu ki wapi? BWANA wa majeshi awauliza ninyi, enyi makuhani, mnaolidharau jina langu. Nanyi mwasema, Tumelidharau jina lako kwa jinsi gani?

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Malaquias
Ver todos os capítulos de Malaquias