Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 1:3,5,6,16

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

3 Yuda akawazaa Peresi na Zera, ambao mama yao alikuwa Tamari,

Peresi akamzaa Hesroni,

Hesroni akamzaa Aramu,

5 Salmoni akamzaa Boazi, na mama yake Boazi alikuwa Rahabu,

Boazi akamzaa Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruthu,

Obedi akamzaa Yese,

6 Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme.

Daudi akamzaa Solomoni, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria.

16 naye Yakobo akamzaa Yosefu ambaye alikuwa mumewe Maria, mama yake Yesu, aitwaye Kristo.1:16 Kristo maana yake ni Masiya, yaani Aliyetiwa mafuta.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    3 Yuda akawazaa Peresi na Zera, ambao mama yao alikuwa Tamari,

    Peresi akamzaa Esromu,

    Esromu akamzaa Aramu,

    5 Salmoni akamzaa Boazi, na mama yake Boazi alikuwa Rahabu,

    Boazi akamzaa Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruthu,

    Obedi akamzaa Yese,

    6 Yese akamzaa Daudi, aliyekuwa mfalme.

    Daudi akamzaa Sulemani, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria.

    16 naye Yakobo akamzaa Yusufu, aliyekuwa mumewe Mariamu, mama yake Isa, aitwaye Al-Masihi.1:16 Al-Masihi maana yake Aliyetiwa mafuta.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    3 1 Nya 2:5,9;Mwa 38:29,30;Rut 4:18-22;1 Nya 2:10-12Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu; 5 Rut 4:13-17Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese; 6 2 Sam 12:24Yese akamzaa mfalme Daudi.

    Daudi akamzaa Sulemani kwa yule mke wa Uria;

    16 Mt 27:17,22Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.