5 Salmoni akamzaa Boazi, na mama yake Boazi alikuwa Rahabu,
Boazi akamzaa Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruthu,
Obedi akamzaa Yese,
6 Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme.
Daudi akamzaa Solomoni, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria.

6 Yese akamzaa Daudi, aliyekuwa mfalme.
Daudi akamzaa Sulemani, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria.
5 Rut 4:13-17Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese; 6 2 Sam 12:24Yese akamzaa mfalme Daudi.
Daudi akamzaa Sulemani kwa yule mke wa Uria;
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.