Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 10:14

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

14 Kama mtu yeyote hatawakaribisha ninyi, wala kusikiliza maneno yenu, kungʼuteni mavumbi kutoka kwenye miguu yenu mtakapokuwa mnatoka kwenye nyumba hiyo au mji huo.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    14 Kama mtu yeyote hatawakaribisha ninyi, wala kusikiliza maneno yenu, kung’uteni mavumbi kutoka miguu yenu mtakapokuwa mnatoka kwenye nyumba hiyo au mji huo.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    14 Mdo 13:51;18:6;Lk 10:10-12Na mtu asipowakaribisha wala kuyasikiliza maneno yenu, mtokapo katika nyumba ile, au mji ule, kung’uteni mavumbi ya miguuni mwenu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.