38 Kisha baadhi ya Mafarisayo na walimu wa sheria wakamwambia, "Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako."
39 Lakini yeye akawajibu, "Kizazi kiovu na cha uzinzi kinaomba ishara! Lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ile ishara ya nabii Yona.

38 Kisha baadhi ya Mafarisayo na walimu wa Torati wakamwambia, "Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako."
39 Lakini yeye akawajibu, "Kizazi kiovu na cha uzinzi kinaomba ishara! Lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ile ishara ya nabii Yona.
38 Mt 16:1;Mk 8:11;Lk 11:16;1 Kor 1:22Hapo baadhi ya Waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema, Mwalimu, twataka kuona ishara kwako. 39 Mt 16:4;Mk 8:12Akajibu, akawaambia, Kizazi kibaya na cha zinaa chatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya nabii Yona.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.