Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 15

3 Yesu akawajibu, "Mbona ninyi mnavunja amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu? 4 Kwa maana Mungu alisema, Waheshimu baba yako na mama yako,na, Yeyote amtukanaye baba yake au mama yake, na auawe. 5 Lakini ninyi mwafundisha kwamba mtu akimwambia baba yake au mama yake, Kile ambacho ningeweza kukusaidia kimewekwa wakfu kwa Mungu, 6 basi hana tena sababu ya kumheshimu baba yake nacho. Basi kwa ajili ya mafundisho yenu mnavunja amri ya Mungu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também