Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 18

28 "Lakini yule mtumishi alipokuwa anatoka nje, akakutana na mtumishi mwenzake aliyekuwa amemkopesha dinari 18:28 Dinari moja ilikuwa kama mshahara wa kibarua wa siku moja. mia moja. Akamkamata, akamkaba koo akimwambia, Nilipe kile ninachokudai!

30 "Lakini akakataa. Badala yake, alienda akamtupa gerezani hata atakapolipa hilo deni.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também