Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 21

15 Lakini viongozi wa makuhani na walimu wa sheria walipoona mambo ya ajabu aliyofanya na kuwasikia watoto wakishangilia katika eneo la Hekalu wakisema, "Hosana Mwana wa Daudi," walikasirika.

16 Wakamuuliza Yesu, "Je, unasikia hayo hawa wanayosema?"

Akawajibu, "Naam; kwani hamkusoma,

" Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao

umeamuru sifa?"

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também