Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 22

36 "Mwalimu, ni amri ipi katika Sheria iliyo kuu kuliko zote?"

37 Yesu akamjibu, " Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote. 38 Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.

Veja também