Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 22

37 Yesu akamjibu, " Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote. 38 Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza. 39 Nayo ya pili ni kama hiyo, nayo ni hii: Mpende jirani yako kama nafsi yako. 40 Amri hizi mbili ndizo msingi wa Sheria na Manabii."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também