Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 26:39,42,44

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

39 Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba akisema, "Baba yangu, kama inawezekana, kikombe hiki na kiniondokee. Lakini si kama nipendavyo mimi, bali kama upendavyo wewe."

42 Akaenda tena mara ya pili na kuomba, "Baba yangu, kama haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisikinywe, basi mapenzi yako yafanyike."

44 Hivyo akawaacha akaenda zake tena mara ya tatu na kuomba akisema maneno yale yale.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    39 Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba akisema, "Baba yangu, kama inawezekana, kikombe hiki na kiniondokee. Lakini si kama nipendavyo mimi, bali kama upendavyo wewe."

    42 Akaenda tena mara ya pili na kuomba, "Baba yangu, kama haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisikinywe, basi mapenzi yako yafanyike."

    44 Hivyo akawaacha akaenda zake tena mara ya tatu na kuomba akisema maneno yale yale.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    39 Yn 18:11;Ebr 5:8Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniondokee; lakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe. 42 Akaenda tena mara ya pili, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwa haiwezekani kikombe hiki kiniondokee nisipokunywa, mapenzi yako yatimizwe. 44 2 Kor 12:8Akawaacha tena, akaenda, akaomba mara ya tatu, akisema maneno yale yale.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.