Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 27

Yuda Ajinyonga

3 Yuda, ambaye alikuwa amemsaliti Yesu, alipoona kuwa Yesu amehukumiwa, akajuta na akarudisha vile vipande thelathini vya fedha alivyopewa na viongozi wa makuhani na wazee wa watu. 4 Akasema, "Nimetenda dhambi, kwa maana nimeisaliti damu isiyo na hatia."

Wakamjibu, "Hilo latuhusu nini sisi? Ni shauri yako."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também