Yohana Mbatizaji Atayarisha Njia
1 Siku hizo Yohana Mbatizaji alikuja akihubiri katika nyika ya Uyahudi, akisema, 2 "Tubuni, kwa maana Ufalme wa Mbinguni umekaribia."