Yesu Awaita Wanafunzi Wake Wa Kwanza
18 Yesu alipokuwa anatembea kando ya Bahari ya Galilaya, aliwaona ndugu wawili, Simoni aitwaye Petro, na Andrea ndugu yake. Walikuwa wakizitupa nyavu zao baharini kwa kuwa wao walikuwa wavuvi. 19 Yesu akawaambia, "Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu."