Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 5

Chumvi Na Nuru

13 "Ninyi ni chumvi ya ulimwengu. Lakini chumvi ikipoteza ladha yake, yawezaje kurudishiwa ladha yake tena? Haifai tena kwa kitu chochote, ila kutupwa nje ikanyagwe na watu.

14 "Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji uliojengwa kilimani hauwezi kufichika.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também