Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 5

Kuhusu Talaka

31 "Pia ilinenwa kwamba, Mtu yeyote amwachaye mkewe sharti ampe hati ya talaka. 32 Lakini mimi nawaambia, yeyote amwachaye mkewe isipokuwa kwa kosa la uasherati, amfanya mkewe kuwa mzinzi. Na yeyote amwoaye yule mwanamke aliyeachwa, anazini.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também