Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 8

2 Mtu mmoja mwenye ukoma akaja na kupiga magoti mbele yake, akasema, "Bwana, kama ukitaka, unaweza kunitakasa."

3 Yesu akanyoosha mkono wake akamgusa yule mtu, akamwambia, "Nataka. Takasika!" Mara yule mtu akatakasika ukoma wake. 4 Kisha Yesu akamwambia, "Hakikisha humwambii mtu yeyote. Lakini nenda ukajionyeshe kwa kuhani, na utoe sadaka aliyoamuru Mose, ili kuwa ushuhuda kwao."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também