Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 9:6

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

6 Lakini, ili mpate kujua kwamba Mwana wa Adamu anayo mamlaka duniani kusamehe dhambi…" Ndipo akamwambia yule aliyepooza, "Inuka, chukua mkeka wako, uende nyumbani kwako."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    6 Lakini nataka mpate kujua kwamba Mwana wa Adamu ana mamlaka duniani kusamehe dhambi." Ndipo akamwambia yule aliyepooza, "Inuka, chukua mkeka wako, uende nyumbani mwako."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    6 Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (amwambia yule mwenye kupooza) Inuka, ujitwike kitanda chako, uende nyumbani kwako.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.