Pular para o conteúdo
Publicidade

Nehemia 6:2-4,6,8,9

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

2 Sanbalati na Geshemu wakanitumia ujumbe huu: "Njoo, tukutane katika mojawapo ya vijiji katika nchi tambarare ya Ono."

Lakini walikuwa wakikusudia kunidhuru. 3 Kwa hiyo niliwatuma wajumbe kwao na majibu haya: "Kazi ninayoifanya ni kubwa sana, siwezi kuja. Kwa nini niiache kazi isimame nije kwenu?" 4 Mara nne walinitumia ujumbe wa namna iyo hiyo, na kila mara niliwapa jibu lile lile.

6 iliyokuwa imeandikwa:

"Habari imeenezwa miongoni mwa mataifa, naye Geshemu anasema kwamba ni kweli, kuwa wewe na Wayahudi mnafanya hila ya kuasi, ndiyo sababu mnajenga ukuta. Zaidi ya hayo, kufuatana na taarifa hizi, karibuni utakuwa mfalme wao,

8 Nilimpelekea jibu hili: "Hakuna jambo kama hilo unalosema linalofanyika. Unalitunga tu kwenye kichwa chako."

9 Wote walikuwa wakijaribu kutuogopesha, wakifikiri hivi: "Mikono ya watu italegea kiasi kwamba hawataweza kufanya kazi, nayo haitakamilika."

Lakini niliomba, "Ee Mungu, sasa nitie mikono yangu nguvu."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    2 Sanbalati na Geshemu wakanitumia ujumbe huu: "Njoo, tukutane katika mojawapo ya vijiji katika nchi tambarare ya Ono."

    Lakini walikuwa wakikusudia kunidhuru. 3 Kwa hiyo niliwatuma wajumbe kwao na majibu haya: "Kazi ninayoifanya ni kubwa sana, siwezi kuja. Kwa nini niiache kazi isimame nije kwenu?" 4 Walinitumia ujumbe huo huo mara nne, na kila mara nikawapa jibu lile lile.

    6 iliyokuwa imeandikwa:

    "Habari imeenezwa miongoni mwa mataifa, naye Geshemu anasema kwamba ni kweli, kuwa wewe na Wayahudi mnapanga njama ya kuasi, ndiyo sababu mnajenga ukuta. Zaidi ya hayo, kufuatana na taarifa hizi, karibuni utakuwa mfalme wao,

    8 Nilimpelekea jibu hili: "Hakuna jambo kama hilo unalosema linalofanyika. Unalitunga tu kwenye kichwa chako."

    9 Wote walikuwa wakijaribu kutuogopesha, wakifikiri hivi: "Mikono ya watu italegea kiasi kwamba hawataweza kufanya kazi, nayo haitakamilika."

    Lakini niliomba, "Ee Mungu, sasa nitie mikono yangu nguvu."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    2 Mit 26:24;1 Nya 8:12;Neh 11:25,35;Zab 12:2;Mit 26:24;Mhu 4:4;Mik 7:4,5Sanbalati na Geshemu wakatuma wajumbe kwangu, wakasema, Njoo, tukutane huko vijijini katika nchi tambarare ya Ono. Lakini wakakusudia kunifanyia mabaya. 3 Mit 14:15Na mimi nikatuma wajumbe kwao, nikasema, Hii ni kazi kubwa ninayoifanya mimi, siwezi kushuka, kwa nini niwashukie na hapo kazi isimame? 4 Mit 1:10Nao wakaniletea mwito huo mara nne; nikawajibu maneno yale yale. 6 Yer 9:3;Rum 3:8;2 Kor 6:8;1 Pet 2:12;Neh 2:19;Ezr 4:13;Lk 23:2nayo yakaandikwa humo, Habari imeenea katika mataifa, naye Geshemu asema neno lilo hilo, ya kwamba wewe na Wayahudi mnakusudia kuasi; ndiyo sababu unaujenga huo ukuta; nawe unataka kuwamiliki, ndivyo wasemavyo. 8 Ayu 13:4;Zab 36:3;Isa 59:4;Dan 11:27Ndipo mimi nikatuma kwake wajumbe, kusema, Hakukufanyika mambo kama hayo uyasemayo, lakini kwa moyo wako wewe mwenyewe umeyabuni. 9 Kum 33:25;Zab 56:3;Isa 41:10;2 Kor 12:9Kwani hao wote walitaka kutuogofya, wakisema, Kwa kuwa mikono yao italegea katika kazi, kazi isifanyike. Lakini sasa Ee Mungu, itie nguvu mikono yangu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.